
Picha ya kanisa la kilutheri jijini Stockholm,Sweden.
Ukistaajabu ya Musa,utayaona ya Firauni
Kanisa la kilutheri nchini Sweden lenye waumini wengi zaidi nchini humo limekubali kubariki ndoa za wapenzi wa jinsia moja kuanzia mwezi ujao.
Asilimia 70 ya baraza kuu la kanisa hilo lilipigia kura kuunga mkono hatua hiyo.
Serikali ya Sweden imepitisha sheria mpya kulinda wapenzi wa jinsia moja. Robo tatu ya raia wa Sweden ni waumini wa Lutheran, japo idadi ya wanaohudhuria ibada imepungua sana.
Kaziiiii kweli kweli?Sijui tutafika kweli?
Chanzo cha habari BBC.CO.UK/SWAHILI



12 comments:
MMMhhh! Kaka Edo ni kweli kaaazzii kwelikweli lakini tusikate tamaa
Pamoja na uhuru wa kujiamria mambo pasipo kuvunja sheria...hii sasa inaleta taabu kidogo...!
Sielewi uelekeo wa dini hasa huko majuu uko wapi!
Nahisi waafrika karibu watabadili makanisa majina na kuyaita ya majina ya kiafrika.
@Yasinta ndio maendeleo hayo
@Chibi tunapoelekea panatisha
Mwanasosholojia..ndio maendeleo na uhuru tunapoenda naogopa hata kufika
Mmh, mie sijui!
Sasa hivi tutafikia katika maswala ni WACHAWI ndio wanaoeleweka KIIMANI!
Dini bomba la kitu cha WENGI ndio maana kama nini yako uko pekee kuna watakao dai hiyo sio dini kwa kuwa haina SHEKHE.:-(
saint simoni!
Watu hatutaki kuukubali ukweli basi acha yatukute..adhabu ni moto wa milele....
St Kitururu umenimaliza kabisa..haaahaaa
@adamu kweli watu wameamua kufuata njia zao..
hapa pakuwa pagumu
Post a Comment