Wednesday, June 16, 2010

HAPPY BIRTHDAY 2PAC



Leo ni kumbukumbu ya siku aliyozaliwa mwanamuzi wa muziki (RAP),Tupac Amaru Shakur aka 2Pac.Tupac alizaliwa june 16,1979 na kuaga dunia baada kupigwa risasi Sept 13,1996.


Tupac pia aliweza kuuza nakala za albumu zake zaidi ya milioni 75 na kuwa msanii miongoni wa wasanii waliouza nakala nyingi zaidi.( best-selling music artists in the world)

Kuna mengi yaliongewa baada ya kifo chake.Je unamkumbuka kwa lipi Tupac?Au ukisikia nyimbo zake unakumbuka wapi?

Happy birthday Tupac an endelea kupumzika kwa Amani.


Tutafika tu


2 comments:

ebony said...

I LUV 2PAC YEA BOI MADDEST RAPPA AND A GOOD PERSON

Anonymous said...

Tupac alizaliwa mwaka 1971 sio 1979.