Wednesday, December 14, 2011

Wabunge wana HAKI ya kupewa pia SLEEPING ALLOWANCE

Wananchi wa jimbo la Mbinga wakitaabika na barabara mbovu.

Mh John Komba mbunge wa mbinga(CCM) akicha usingizi ikiwa ni njia mmoja wapo inayotumiwa na wabunge kuwakilisha wananchi.


Mtazame mh anavyouchapa usingizi wakati wapiga kura wake wanataabika na matatizo kibao.

Nashauri kwa wale wabunge wasaliti wanaopigania kupewa posho za vikao sitting allowance laki mbili kwa siku wasisahau kuomba pia Sleeping allowance maana wengine wanapiga tu usingizi.

Tutafika tu

4 comments:

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

bora umerudi ulingoni mkuu. tafadhali usiondoke tena hapa

Yasinta Ngonyani said...

kaka Edo una vituko wewe:-) Hiyo barabara yaani mvua zikinyesha si barabara ila basi tu...

Kamala! Unafikiri, yaani asiondoke tena na hasa bila kuaga:-)

EDWIN NDAKI (EDO) said...

Hbari ya kwako Kamala.Asante sana kwa kunipokea ndugu yangu.Hakika niliwakumbuka sana..nipo kwenye majaribio nitarejea rasmi dec 20..nashukuru tupo pamoja

EDWIN NDAKI (EDO) said...

Dada Yasinta..Nilibahatika kufika huko mbinga miaka kadhaaa iliyopita ndio maana nashngaa yaani hadi leo mambo ndio hivyo na mh ndio anaomba kabisa shuka bungeni?:D

Naendela na majaribio kuanzia dec 20 ndio nitakuja kutulia rasmi.Asanteni kwa kunitia moyo.
Any way tutafika tu