Wednesday, July 24, 2013

MCHEZO WA KIRAFIKI BAYERN MUNICH vs FC BARCELONA LEO!







Leo usiku saa moja na nusu (19:30) kwa saa za Afrika mashariki, washinda wa kombe la mabingwa barani Ulaya (EUFA Champions League ) Bayern Munich  watakutana kwenye mechi ya kirafiki dhidi ya mabingwa wa Uhispania FC Barcelona.

Ikumbukwe mechi mbili za mwisho FC Barcelona ilichezea kichapo cha jumla ya magoli 5-1..

Ingawa ni mchezo wa kirafiki utavuta hisia za wapenzi wengi wa soka..

Mpira dakika 90 tusubiri tuone muziki leo..

Tutafika Tu!