Picha inaonyesha jua linapotea katika uso wa dunia april,2007.Hilo ni eneo la hifadhi ya bunga ya wanyama ya Serengeti.
Hiyo ni ishara ya wadau katika harakati za kublog wakti wao wakati wao wanajipumzisha baada ya kazi ngumu,mimi ndio naamna.
Lakini naamini nitafika tu,kwa msaada wenu.
'Aluta kontinua'
No comments:
Post a Comment