Tuesday, November 4, 2008

HONGERA OBAMA KUCHAGULIWA RAIS WA 44

Wakati wa Kampeni Barack Obama
Akiwa kazama mawozoni rais wa 44 wa USA
Kwa kuwa masaa yajayo nitakuwa katika kusaka mkate wakila siku.Naona nitumie fursa hii ingawa matokeo bado masaa kadhaa ndio yatangazwa baada ya Zoezi la upigani kura kumalizika.
Hongera Obama.

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Tena Hongera sana na nakutakia kazi nzuri na njema