Wednesday, November 12, 2008

UBUNIFU NA MAZINGIRA

Hii ni sanamu inatumika kuifadhi taka.Ni kiasi cha kutumbukiza kwenye sehemu ya mikono au shingoni.Ubunifu huo!
Kwa wenzetu kila hatua chache utapata sehemu ya kutupa taka.

Mara nyingi nikikatiza kati kati ya jiji la Bongo ambako ni tambarare inaniwia vigumu kupata sehemu ya kutupa chupa tupu au ganda la ndizi.

Pesa wanazotumia kupambana na kutibu wagongwa wa kipindupindu kila mwaka ,wangetumia kuimairisha usafi wa mazingira ingekuwa njema.
Lakini naaamini taratibu ..
Tufafika tu siku moja.

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Hapo umesema ni kweli mtu unaweza kuitwa mshamba kwa kutembea na ganda la ndizi mkononi kutafuta sehemu ya kutupa. Sio kwamba nimesahau kwangu hapana, Kwani ni kweli ni fedha kiasi gani zinapotea au tuseme ni watu wangapi wanakufa kwa kipindupindu. haya kazi kweli kwel.

Sawa kaka Edo kama usemavyo Tutafika tu polepole. Polepole ndio mwenda haraka haraka haina baraka.

Mzee wa Changamoto said...

Kaka upo? Sikuoni wala kukusoma Mkuu. Tujulie hali "wangwana"

Anonymous said...

Hako kakontainer kakiletwa bongo, mbona vitajazwa maganda ya viazi na mtu mmoja tu ( wachoma chips) unajua lazima kuwe na classification ya takataka kwanza. Lakini Bongo inawezekana, Kama umeshapita mitaa ya Kirumba Mwanza utacheki kuna mitaa flani kila mita mia kuna dram hivi special la taka....tunaweza kabisa. Lazima tuwe na viongozi creative. Magufuri alikuwa creative sana na utendaji kazi wake ulionekana. Ole Njolay ndiye aliyeifikisha Mwanza inavoonekana saa izi. Nikuulie wako wapi? ni kwasababu za kisiasa, Hawakuwa kambi ya "wanamtandao" ambao ndo wako serekalini. Politics..politics....