Timu ya inayoundwa na wakenya kutoka Vaasa(Safari FC) wakiwa katikapicha ya pamoja kabla ya kufungwa 2-1 na TAS ya tampere.

Leo Timu ya TAS imafanikiwa kuwafunga timu inayoundwa na wakenya kutoka mji wa Vaasa kwa kuwabanjua magoli MAWILI kwa "kamoja"..
Mchezo ulichezwa katika jiji la Tampere kwenye makazi ya timu ya TAS.Mwaka 2008 Safari FC walishinda walipokuja tampere na Tas walishinda waliopoenda Vaasa.
Muda bado unaruhusu naamini mechi ya marudiano ya mwezi ujao itaamua nani zaidi tkati ya TAS na SAFARI FC..
Hongera TAS..
Tutafika tu

No comments:
Post a Comment