
high School" ya hapa Finland kwa jina Pekka-Eric Auvinen(18),jana aliwapiga risasi na kuwaua wanafunzi wenzake wavulana watano na wasichana wawili na mkuu wake wa shule pamoja na kujeruhi wengine kumi.
Kabla ya kufanya mauaji hayo mabaya na yakusikitisha,Pekka-Eric aliacha ujumbe wa kuomba yeyote asilaumiwe kwa kitendo chake...,na pia aliongeza "This is my war: one man's war against humanity, governments and weak-minded masses of the world." .
Finland nchi yenye jumla ya wakazi wanaokadiriwa milioni 5.2 na takwimu pia zinaonyesha watu 56 kati ya 100 wanamiliki siraha.
Kwa habari zaidi soma http://news.bbc.co.uk/2/hi/europe/7082795.stm
MWENYEZI MUNGU AWAFARIJI WALE WAOTE WALIOPOTEZA NDUGU,JAMAA,MARAFIKI KATIKA TUKIO HILI.PIA AWAPE MOYO WA SUBRA WALE WOTE WALIOFIKWA NA MSIBA HUU.TUPO PAMOJA..MWENYEZI MUNGU AZIWEKE ROHO ZA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI.AMINA.
1 comment:
Naona pepo mbaya wa US anatapakaa duniani kote. Habari hizi za massacre hasa mashuleni tumezoea kusikia US
Post a Comment