Sunday, September 14, 2008

HONGERA ISSA MICHUZI na BINTI MACHOZI

(picha kutoka kwa Abdallah Mrisho)

Natumia nafasi hii kumpongeza mzee wa Libeneke Issa Michuzi pamoja na Judith Wambura kwa kuteuliwa kuwa balozi wa kampuni ya simu ya kiganjani Zain.

Ni habari njema hasa kwa sisi wadau wa blog kuona mchango wa uhabarishaji mtandaoni unazidi kukua nyumbani na kuthaminiwa.

Michuzi ameteuliwa kuwa balozi wa Zain kwa kuwa ni mzee wa 'libeneke mtandaoni' na Jay Dee akiwa ni msanii ambaye kwa takribani miaka SABA amesimama kidedea kwenye 'game'


Nawatakia kila jema katika majukumu ya yenu mapya
TUTAFIKA TU

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Pia nawapa hongera. Na nakutakia weekend njema na mapunziko mazuri

Anonymous said...

African hookups kutoka Mchepuko
https://www.sextanzania.com/

jipatie mdada mrembo wa kuwa nae sextanzania.com