Wednesday, September 10, 2008

SEPTEMBER 11...DUNIA ILIUMIZWA TENA


Nakumbuka ilikuwa majira ya usiku siku ya JUMANNE September 11,2001, kwa saa za afrika mashariki.

Nilikuwa mkoani TANGA tumejikusanya wanafunzi wa Eckernfode kwa ajili ya kusubiria mchezo wa Runinga.


Ghafla matangazo yakakatizwa na kujiunga na CNN.Picha zikionyesha majengo marefu mawili yameshambuliwa huko USA.Nakumbuka nilikatiza ukimya wa wenzangu na kusema "Osama nini?"UKweli ulibainika mtandao wake umehusika.


Naandika kwa ajili ya kuwapa pole wale wote walioguswa kwa namna moja au nyingine kuhusu janga hilo.Sikubaliani na sera nyingin za nje USA ..lakini bado pia sikubaliana na kitendo cha kuuwa watu wasio na hatia kama sehemu ya suluhu.


Mwenyezi Mungu azipumzishe roho za marehemu wote mahala pema peponi.Amina.
Nawaombea waliopata ulemavu pia Mola awajalie ujasiri kila wanapokumbuka siku hiyo.


Pole kwa waliopeteza wanafamilia zao,marafiki na mali zao.Kila kitu kinapita.Bora uzima.


Mwisho bado nasisitiza.Kwa sababu yoyote ile hakuna sababu ya kutoa uhai wa mtu kwa sababu ya kulipiza kisasi.Osama na magaidi wengine wote duniani.Lazima mkubali..hakuna marefu yasiyo na ncha.


TUTAFIKA TU.


Unaweza kupata baadhi ya "DATA" kuhusiana na September 11 hapo chini

Total number killed in attacks (official figure as of 9/5/02): 2,819

Number of WTC companies that lost people: 60
Number of employees who died in Tower One: 1,402


Number of employees who died in Tower Two: 614
Number of nations whose citizens were killed in attacks: 115
Age of the greatest number who died: between 35 and 39


Bodies found "intact": 289
Body parts found: 19,858
Number of families who got no remains: 1,717


Number of people who lost a spouse or partner in the attacks: 1,609
Estimated number of children who lost a parent: 3,051


Days fires continued to burn after the attack: 99
Jobs lost in New York owing to the attacks: 146,100

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Kwali hapa duniani kuna watu wa kila aina kupoteza roho ya mtu bila sababu hawaoni tatizo. Narudia pia Marehemu wote wastarehe kwa amani popeni. na pole sana wanafamilia wote. Amen

Yasinta Ngonyani said...

mi poa tu nashukuru kwa kunitembelea siku njema nawe

EDWIN NDAKI (EDO) said...

yaa kweli kabisa Yasinta kuna watu uhai wa mtu sio kitu kwako wapo radhi waue watimize malengo yao