
Basi la mtandao likisubiri walipa kodi waje kubofya

Madhari ya Ndani ya basi la mtandao.Kwenye ile pazia ya blue
ni kachumba kwa ajili ya kufundisha bure matumizi ya mtandao

Ngoja na mimi nijaribu kubofya bofya

Ukitaka kutumia huduma ni bure.
Hii ni moja ya matumizi ya pesa za walipa kodi.
2 comments:
duuuu kaka Edo mimi hoi kabisa yaani sijui nitafanyaje hali hii iwepo hapa nyasa, lakini Tutafika tu hakuna matata.
JIKOMBOE, UHURU DAIMA.
Swaiba nakuona wala bata tuuu dah!
Ila tutafika tuuu
Post a Comment