Ni swali nzuri sana! kwa kweli inasikitisha sana kuona wanyama wana akili kutuzidi sisi wanadamu. kwani angalia wao hawajali rangi wala kabila.
Nina mfano mwingine tena, mara nyingi nimeona kama watu mnatoka nchi moja na mpo ulaya huwa kuna leta shida sana. Halafu ukiwa na rafiki atokaye nchi nyingine hakuna shida kila kitu kinaenda safi kabisa. kwa kweli hii bado sijaelewa kabisa. Kushindwa kupendana wtu wa nchi moja ugenini. Ningependa tungekuwa kama hao "nyani"
3 comments:

aaa.. Dada Yasinta habari za masiku..
umeongea japo kubwa na zito..inabidi uje uweke hiyo mada ili tusikie mawazo ya wadau..aaaa
siku njema
za masiku salama tu Edo,asante nitakuja kwani napenda kweli
Post a Comment