Wednesday, December 3, 2008

MSALA:- MATAIRI YA WINTA" ni LAZIMA KUANZIA DESEMBA MOSI - UFINI.

Tairi Maalumu kwa ajili ya kipindi cha "winter".Hako kwa "mwanga" ni tuchuma(tuupele) pamoja na muundo wa tairi unasaidia tairi kuweza kumudu viutelezi vya snow(theluji).Eti ndio "winter tires"


Hii ni picha ya gurudumu la kawaida la gari ambalo hata linaweza kutumika katika kipindi kisicho cha winta.Kwani matumizi ya tairi hili,yanaweza kukusababishia ajali,gari kushindwa
"kujimuvuzisha" na matokeo yake unaweza kushikia break kwenye bodi la gari nyingine.
Kwa taarifa iliyotolewa na mamlaka ya usalama wa barabarani ya hapa Ufini.Kuanzia Desemba mosi,kila mwenye lengo la kutumia gari lake basi ni LAZIMA awe amebadirisha na kuweka matairi ya winta.
Duh!poleni sana..ndio majukumu mimi katambuga zangu pia itabidi nitafute za WINTA.
Habari zaidi bofya HAPA
Siku njema

No comments: