Tuesday, January 13, 2009

ISRAEL YAPIGA HOSPITALI YA 'WAFINI'

Sehemu ya kituo cha afya kinachofadhiliwa na kanisa la kilutheri Finland kabla ya kushambuliwa.


Kanisa la kilutheri la Ufini kwa kushirikiana na mashirika mengine ya Norway yamejenga vitua vinne katika Gaza kwa ajili kuhudumia jamii husasani wakina mama na watoto.


Kwa mujibu wa kiongozi wa misaada ya kibadamu ya kanisa hilo anasema vituo vitatu vilikuwa vimefungwa kwasababu ya hali ya usalama.Na hicho kilichoshambuliwa kilimeshambuliwa achilia mbali kuwekea sehemu zote alama za msalaba mwekundu.


Kwa kushambulia 'msalaba mwekundu' ni kuvunja mikataba wa kimataifa. alisema Jouni Hemberg.


Pole sana raia wote wasio na hati amboa damu zenu zinamwagiko huko.Mola azilaze mahala pema peponi roho wote waliotangulia mbele ya haki.

TUTAFIKA TU!!

1 comment:

Anonymous said...

dawa ni kuacha kabisa hata kula matunda kutoka israel