Kuna rafiki yangu mmoja amerejea jana kutoka mapumzikoni.Ila kati ya picha zilizonivutia ni hili duka la kuuza hizi nyenzo.
Maana wamegundua kuna nchi nyingi za kiafrika suala la kondom hata kulitamka inaoneka ni "utovu kama si uchovu" wa nidhamu.
Na nyumbani kinachotuua sio Ukimwi bali ni UKIMYWA.Hawa jamaa wameamua kuzifungua na kuning'iniza kila aina ili ukifika ni wewe tu unataka rangi,size na mambo kama hayo..Kwani hawataki kukuuzia mbuzi kwenye gunia.
Pia kama unahitaji pochi ya kuwekea kondomu
Kama unahitaji kuagiza online huduma hiyo pia ipo.
Kwa maelezo zaidi unaweza kuwa chungulia hapa www.condomerie.com
Tutapambane UKIMWI bado tishio
Tutafika tu
1 comment:
hii kali..
edo siku hizi sikuoni bongocelebrity kulikoni?
Post a Comment