Thursday, January 15, 2009

TAMPERE KUNA VITUKO!!


Kibunango alivyoupokea mwaka na "pota"

Wazalendo tulivyojumuika kuupokea mwaka ndani ya "POTA"


Binafsi ilikuwa jambo ya kustajabisha.Nyumba ya kutoa huduma za vinywajizi ilipobuni mbinu ya kutumia hizo "pota" za kujisaidia haja watoto kutumiwa kama bilauli.


Ila walituhakikishia "haijini" ya nyezo hiii upo juu sana.



Karibu sana Tampere kama nawe  una hamu ya kujaribu nyumba yenyewe inatwa RUMA BAR ipo jirani na Victoria hotel mkabala jirani na Klubi.



Tutafika tu

3 comments:

MARKUS MPANGALA said...

nimepita kukusabahi tu maana ni siku nyingi kidogo

Kibunango said...

No comment....:)

EDWIN NDAKI (EDO) said...

mpangala mi mzima mkuu..mammbo vipi karibu tena