Kutoka kushoto:Maximo(bass gitaa) ,Willy(Drums),RasMakunja(Kiongozi) na Chriss(solo)
Mambo ya usawa wa kijinsia hayajachwa nyuma Ngoma Africa
Wasanii wanaowakirisha africa ya magharibi Saiko(Gambia) na Mussa(Senegal).Walikuwa wanaimba ule muziki ambao shurutu suruali uishike paleeee ili vesi zitoke nyingi...
Mikono..mikono..mikonoo juuu...
4 comments:
hello ras makunja bin kichwa ngumu wa madongo,umeongoza kikosi kwenye
barafu?hongera sana wewe m2 wa shoka,nakukubali
tatizo la hawa jamaa ngoma afrika usiwape nafasi,ukiwapa nafasi tu ya kupanda jukwaani wanafanya kweli
lakini tunasikia tetezi kuwa huyu ras makunja mwenyewe kweli ana mzimu wa dansi,kaubeba mzimu wa dansi ambao unamuongoza katika uringo wa mziki,ndio maana hana uwoga anapokwenda popote anajiamini
ras makunja heti nasikia baba wa kambo kakununulia miwani ya zahabu?hili mmalize zogo?
Post a Comment