Mke wa rais wa zamaniwa Zambia Regina Chiluba akiwaka pembeni ya Chiluba.
Picha kutoka bbc
Mahakama kuu ya Zambia ime muhukumu kifungo cha miaka mitatu jela mke wa rais wa zamani wa Zambia Bi Regina Chiluba.
Alitiwa hatiana kutumia pesa la serikali kununua nyumba tatu pamoja na jengo la biashara wakati wa uongozi wa mumewe.
Pia alishindwa kuelezea jinsi alivyopata dola laki moja.
Hayo wakati yanatokea mmewe alikuwa pembeni yake akisubiri siku kesi yake ya ufisadi itakapo unguruma.
Bi Regina aliingia kwenye karandinga tayari kuelekea "segerea" ya zambia kuanza maisha mapya.
3 comments:
ukifanya kosa ni lazima uadhibiwa au? kazi kweli kweli
samahani fungua kurasa ya kuchangia mawazo kuhusu jumuiya ya wanablogu tanzania.
http://blogutanzania.blogspot.com/
www.ringojr.wordpress.com
Kaka Edo upo wapi tunakumiss. ok pole na misukosuko.
Post a Comment