Muonekano wa Kiwanja kipya kwa ajili ya watu mbalimbali ufikapo Tampere.Leo wakazi wapenda soka na buradani watakuwepo hapo kushuhudia mpambano kati ya MAN UTD na Barcelona Fc katika kinyang'anyiro cha kombe
Moja ya maeneo ndani ya TROPICANA Bar&Cafe
Mapambo ya kitropicana
International atmosphere hata vinyago vya africa utaviona
Kuna madhari nzuri ya nzuri tulivu.Hapo ilikuwa leo nilipopita kabla hapajafunguliwa.Nahisi leo patakuwa patamu.
Vinwaji vikiwa vimetulia "kaunta"
Leo nimepita asubuhi nakudaka picha kadhaa kutoka kiwanja kipya na gumzo hapa jijini Tampere.Hapo si kwingine bali ni TROPICANA -Bar &Cafe
Hakika madhari ni ya kuvutia sana.Ni sehemu ambayo inakuwa rahisi kukutana na watu kutoka mataifa mbalimbali kuburudika nakubadilisha mawazo.
Ukipata muda tembelea ni katikati ya jiji jirani na jumba kubwa la FINLAYSON.
ukitaka kufika fuata hii anuwani..
SATAKUNNANKATU 22,Tampere
No comments:
Post a Comment