Nyama ya kitimoto
Wizara ya Afya ya hapa Ufini imethibitisha kuwepo kwa wagonjwa wawili waliotambuliwa kuwa na ugonjwa wa mafua ya nguruwe.
Taarifa hiyo iliyotolewa leo imesema wagonjwa wanaendelea na matibabu.
Serikali imewahikishia wananchi wake kuwa wanaendelea kuchukua tahadhari zote kuhakikisha nchi na raia wake wanaendelea kuwa salama.
Habari ndio hiyo...
Tutafika tu

2 comments:
Hapo kazi ipo bila kiti moto. Naomba jiangalieni ndugu zanguni. Na poa poleni.Tutumaini haitakuwa hatari sana
Hatari ni pale utapoguwa karibu na aliyeshayapata mafua hayo maana hewa ndio isambaza zaidi. Watalaam wana sema haupati kwa kula maana joto la kupika halitaaacha hai virus hao, ila kuwa sample kujaribu kama hayo ni ya kweli ndio watu tunaogopa. Inabidi hata kiti moto tukiogope. Mwenyezi mungu atunusuru waja wake
Post a Comment