Wednesday, June 24, 2009

UGOMVI MWISHO WAKE UBAYANI

HATUA YA KWANZA:Wafini wakimpiga mfini mwenzao mithiri ya mbwa mwizi.

HATUA YA TATU:Jamaa alishindwa kuamka mwenyewe ilibidi apewa msaada.Wabongo wenzangu nilio kuwa nao eneo la tukio wakifuatilia tukio baada ya kumaliza kutoa ushirikiano wa kupiga simu kuomba msaada polisi na huduma ya kwanza.
HATUA YA NNE: Watu wa huduma ya kwanza wakiondoka na jamaa kwenda kumpatia huduma zaidi.
MWISHO:Polisi wakimkamata mtuhumiwa baada ya mimi  kuwapigia simu.


Hilo tukio hapo juu limetokea leo nikiwa nimejipumzisha nakula ka jua ka kiangazi.Mara jamaa wakaanza kumpa kipigo mwenzia.Ikibidi niwapigie simu wanausalama waje kutoa msaada..

Ndio mambo ya Kiangazi..Pole kwa mpigwa.

Tutafika tu

4 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Inaonekana huko Finland wakati huu wa joto kuna vituko kweli. Kazi kwelikweli!!!!

Simon Kitururu said...

Duh!Summertime!

EDWIN NDAKI (EDO) said...

yasinta yaani wanachanganyikiwa kabisa..

EDWIN NDAKI (EDO) said...

Kitururu hali ndio hiyo mkuu..tutafika tu