Leo nilikuwa nikirusha matangazo kwa lugha ya kiswahili kupitia TV ya Honkalamedia
Bembea kubwa ambalo limefungwa sehemu ya wazi katika kutoa huduma za bure katika kujiburudisha.
Mmiliki wa Honkalamedia TV akitoa sign ya Amani..
Giant Wheel nilipokuta linafungwa leo..picha za usiku nitakuletea
3 comments:
Duh!!
Safi sana Kaka. Lisongeshe tuu kiaina. Labda kwa sisi tusiojua wingi wenu huko, wazungumzaji wa Kiswahili hapo Ufini ni kadirio la kiasi gani?
Nimependa "kivazi"
Blessings
Mzee wa Changamoto idadi ya watu watumia kiswahili ni ndogo sana chini ya 500 lakini kipindi hiki kilikuwa kinatoa fursa kwa lugha mbalimbali kusikika...
tupo pamoja kaka
bab kubwa,
kuona mwanahabari mazalendo wa bongo akisonga mbele
Post a Comment