MABEST MANI wa bwana harusi wakiwa ndani ya Nyumba yenye vyumba vitatu(SUTI SIRII PISI)
Wadada walikuwepo kwenye shurughuli ya kumsindikiza ndugu yetu alipokuwa anakula kiapo cha kuchukua jiko.
Bw &Bi Harusi wakichanganya mambo ikiwa ni ishara ya muungano na upendo..
Kweli upendo huvuta wengi.Tulivamiwa kwa amani na vijana wa timu ya "olimpiki" kutoka Uturuki waliokuja kushuhudia harusi.

No comments:
Post a Comment