Mpaka mwisho wa mchezo BIG SCREEN ndio lilisema hivyoo
Wakiondoka vifua mbele baada ya ushindi mnene wa 5-1
Mwamuzi wa mchezo akimzawadia Kadi ya "kliniki" mwana mwanadada wa timu ya Ufaransa
Moja ya washambuliaji hatari ya timu ya taifa ya Ufaransa ya wanawake.
Beki wa kutumainiwa wa Ufaransa akitoka uwanjani baada ya kufungwa 5-1
Hako ndio katiketi kangu...Kuna mdau alihoji kama kweli nimefika uwanjani au na kopi na kupesti...aa aaa
4 comments:
Hongera dada zangu. Inafurahisha kuona na sisi wanawake tupo juu. Safi sana.
yep yasinta yaani hawa wakinadada wanacheza mpira mzuri hata kuliko timu yangu ya Tifa ya Tanzania
Basi una hitaji kuwafuata wakufundishe jinsi ya kucheza mpira mzuri sijui nianza nami kucheza mpera......LOL
Uliulizwa tiketi tu?..Naona kuna zaidi ya hiyo tiketi kwenye picha..:D
Post a Comment