Bendera ya uholanzi na Ufaransa zina fanana rangi.Tofauti Uholanzi mistari yake ipo ndio hama hii juu na chini ni Ufaransa..
Timu ya taifa ya Uholanzi juzi kabla ya mpambano
Wanawake wanaweza.Yaani hii michuoano ya timu za wanawake za maifa ya ulaya hadi waamuzi ni wanawake.
Huyu ni Beki wa timu ya taifa ya wanawake ya Ufaransa Laura Georges
Timu ya Taifa ya Ufaransa kabla ya mpambano wao juzi .
Nikila mkonozi na shabiki wa Uholanzi
Mshambuliaji hatari na mwenye pumzi na kasi kubwa Elodie Thomis
Juzi nilishuhudia mpambo mkali wa timu za wanawake za Uholanzi na Ufaransa katika kinyanganyiro cha EUFA WOMEN'S EURO 2009 .
Mchezo ulikuwa mkali huko Ufaransa wakionyesha mcheza mzuri zaidi ya Uholanzi.Baada ya dakika 90 timu zote zilikuwaa sare.Dakika za nyongeza zikaweka.Baada ya muda wa nyongeza(dakika 120) timu zote zilikuwa hazijafungana.
Baadaye ikabidi njia ya matuta(penalty) zitumike.Wakapiga penati 5 na kila timu ikafunga 4 na kukosa moja....Mwisho wa siku Uholanzi wakashinda kwa 5-4 penati.
Hivyo Uholanzi wameingi kwenye hatua ya nusu fainali watakutana na Uingereza Jpili ya leo.Ujerumani na Norway watacheza jmatatu.
Picha na matukio ya mechi ya Uholanzi na Uingereza itakayocheza hapa Tampere city inaanza 1900 gmt zitawajia baada ya mpambano..Kwa wale marafiki zangu wa hapa Finland Simoni Kitururu unaweza kuatazama live kupitia YLE TV 2 Kwa wale wanaoishi
Tutafika tu
No comments:
Post a Comment