Bendera ya nchi ya Rwanda.
Hatimaye nchi wanachama wa jumuiya ya madola (commonwealth) wameikubalia nchi ya Rwanda ombi la kujiunga kuwa mwananchama.
Kwa nchi ya Rwanda imepokea kama habari njema sana ukichukulia kwa sasa imeamua kujikita kurejesha Rwanda yenye maendeleo.
Hongera sana Rwanda kwa kupata nafasi hiyo na pia kuwatakia kila la kheri katika kujenga Rwanda mpya
No comments:
Post a Comment