Friday, February 12, 2010

MIAKA 20 YA MANDELA UNAJIFUNZA NINI?

rais mstaafu wa Afrika Kusini Nelson Mandela
Hayati baba wa taifa Mwl JK Nyerere akiwa na Mzee Mabida.Mwalimu alikuwa ni mmoja wa marafiki wakubwa sana wa Mandela.Mwalimu alikuwa na msimamo mkali kuhusu ukombozi wa bara la Afrika na hususani kupambani na ubaguzi wa rangi kusini mwa afrika.Historia ya Afrika kusini haiwezi kuandikwa bila kuitaji nchi ya Tanzania.
Mandela akiwa kwenye picha ya vazi la utamaduni wake.


Mandela mbali kutumikia kifungo cha miaka 27 gerezani lakini alipotoka,hakulipiza kisasi na badala yake alichukulia huo ni ushindi kwa "freedom" na kujitahidi kujenga afrika kusini yenye umoja na kusameheana yaliyopita.
Unajifunzani nini ?

3 comments:

Mija Shija Sayi said...

..Ila alishindwa kumsamehe mkewe.., inasemekana Winnie ana kiburi si masihara.

Asante kwa kutuwekea shujaa wetu.

Yasinta Ngonyani said...

Edo, umefanya vizuri kuweka hapa kwako kumbukumbu hii nzuri.

EDWIN NDAKI (EDO) said...

@asnteni Da Mija na Yasinta kwa kunitembelea