Edo pamoja na Roggat Hegga muimbaji wa Extra Bongo Band
Namshukuru Mwenye Mungu kwa sasa naendelea vema na jeraha langu la goti nililopata wakati wa mchezo wa kirafiki kati ya timu yangu ya Tampere ilipocheza na timu jirani kutoka mji wa Vaasa.
Mbali na kuumia ujio wa Extra Bongo Band ulikuwa faraja na tiba mbadala katika kipindi hiki.
Naam kwa sasa wanaelekea jijini Helsinki kwa ajili ya onyesho la mwisho kabla ya mwisho wa juma hili kuekelea Stockholm Sweeden na nchi nyingine barani Ulaya.
Nawatakia kila kheri katik ziara yenu,iwe na mafanikio zaidi.
Wasalaam Edo
Tutafika tu!
2 comments:
pole sana kaka Edo. Ugua pole utapona tu...ila usisahau kufanya fanya mazoezi...
yes i like it this blog and article. thanks
Post a Comment