
KUTOKANA NA MSIBA MZITO ULIOTUFIKA KUONDOKEWA NA MH.SALOME MBATIA.NA HII IKIWA NI BLOGU INAYOHUSU MASUALA YA WATOTO.
Tunasitisha shughuli zote za ujenzi wa blogu yetu kwa muda wa siku tatu ikiwa ni sehemu ya maombolezo.
Tuzidi kuwaombea familia,watanzania Mwenyezi Mungu atupe moyo wa subra,imani katika kipindi hiki kigumu.Mwenyezi Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi.AMINA
3 comments:
Kaka pole sana na msiba.Ama hakika ni msiba wetu sote.
Poa tutaonana j3 natumaini utakuwa umerudi hewane
Pole kwa wanafamilia ya Mbatia.RIP mama Mbatia.
**Eddo mambo safi, blogu inapendeza.Tupo pamoja
R.I.P Salome
Post a Comment