Imetubidi tusitishe ujenzi wa blog yetu na kuwaletea habari iliyotufikia hivi punde.
Jana katika jiji la Johannesburg,Afrika ya Kusini jana majira ya saa 2:30 usiku Lucky Dube alivamiwa na genge la majambazi na kupiga risasi zilizopelekea mauti yake.
Kwa niaba ya blog hii niwapa pole wale wote tuliguswa kwa namna moja ama nyingine na kifo Cha Lucky Dube(43).Mwenyezi Mungu aiweke roho ya marehemu,mahali pema peponi Amina.
Maelezo zaidi tutawaletea baadaye.
3 comments:
pamoja kaka...kamua tutakuwa tunakutembelea
Kaka kweli imesikitisha sana kifo chake.
RIP -Dube
ahsante ndaki kwa kunipitia kwangu ...nawe karibu tublogue, ndo mtindo wakisasa....huyo kulia mwenye vazi la kimasai ndo edwin au
anyway welcome to ze club\
RIP DUBE!!
RIP SALOME MBATIA!!
Post a Comment