Saturday, November 24, 2007

SIKU YA UHURU WA TANGANYIKA.



Jumuiya ya Watanzania waishio hapa UFINI.Inawakaribisha watu wote kujumika pamoja December7,2007 kwenye hafla ya kusherehekea kumbukumbu ya siku ya uhuru wa TANGANYIKA.

Tanzania ambayo ilijulikana hapo zamani kama Tanganyika ilijipatia uhuru wake December9,1961 kutoka kwa waingereza
.

3 comments:

Anonymous said...

safi sana masai..ila tatizo lako baaday ya huo mtundiko tunaweza kukuona tena baada ya wiki mbili..

au boksi yankutight nini...

tupo pamoja

Anonymous said...

Oya inakuwaje Edo

Kama utaenda Helsink tutafutane mtu wangu.

chwaaaaaaaaap

Anonymous said...

mmm..kaka umeahama nini?

kila nikija sikuti kitu kipya...

Jitahidi au boksi zimekuwa zito sana