Monday, April 28, 2008

NIPO MAPUMZIKO KWA BIBI


Karibu tena kwenye kijiwe chetu.

Ila kwa muda huu nitakuwa sipatikani kwa juma ili lote maana hapa kwa bibi ,kama unavyo cheki hii nyumba yetu,hatuna umeme.Ila karibu tena rafiki siku nyingine.

Tutafika tu.

5 comments:

Anonymous said...

inakuwaje Edo.

wasalimie kwa bibi.Naona unatambaa kaka hadi kwenye Fotobaraza.

Jeni aka sister World

EDWIN NDAKI (EDO) said...

Nashukuru kwa kunitembelea karibu tena.

Napenda sana networking ndio maana unanikuta kwenye misele mingi..aa aa

pamoJAH dada yangu

Anonymous said...

Inakuwaje Masai..weka picha za ng'ombe basi tuzione.aa aaaa

vipi mbona umeadimika sana bongo5?

nilicheki kona moja picha yako unakamua maculture.

Picha uliyoweka hapo inafana sana na pale bujora.

sunday

Anonymous said...

mambo vipi NDAKI..

AFADHALI SAFARI HII UMETUAGA maana unaweza kuja hapa hata mara tatu kwa siku unakuta patapu.

lakini ukienda michuzi,mjenngwa,bc unakuta upo live..kwanini unakimbia kwako.

Erick

Anonymous said...

inakuaje kijana?

naona unatuonyesha mambo ya home sio?

sisi tunataka mambo ya huko Finland...lol...

unakumbuka mambo ya Eckernforde nguvu mali swahiba..aaaa