Monday, March 17, 2008

ZANZIBAR...UNAKUMBUKA NINI?


Hii picha nilipiga 2006 nikiwa ndani ya boti taratibuuu wakati nayaaga madhari mazuri ya kisiwa cha Zenj.
Unakumbuka nini uonapo hiyo picha.

2 comments:

Unknown said...

Edo, nakumbuka mwaka 2003 nilipokitembelea kisiwa hiki, afu nakumbuka club moja pale inaitwa kwa Raju. Ha-ha-ha, mambo ya zanzibar bwana!! we wacha tu muungano udumu. Basi ilikuwa wakati wa ramadhan, unakaribishwa bar afu unatinga kwa nyuma mnafungiwa, hamna kuimba hata ukilewa. ilikuwa kazi kweli kweli si unajua mimi edwin Mkandamizaji? tukishalewa lazima tuimbe...ha-ha-ha!! Poa mzee wa arua!
Gervas

EDWIN NDAKI (EDO) said...

Gervas umenikumbusha mbali sana ndugu yangu.

kwamba unaingia kupiga tungi alafu unafungiwa.

Asante kwa kunitembelea hapa maskani kwangu ingawa..majukumu yamenibana sana nashindwa hata kufanya update.

usichoke karibu tena