Thursday, March 13, 2008

MAJINA MENGINE UTATA!

l

Usilo lijuia ni sawa na usiku wa giza.Ukifika hapa Ufini katika mji wa Tampere.

Jirani na kituo kikuu cha 'Daladala' utapokewa na hilo neno "TAKO".

Pembeni yake ni sehemu ya picha ya sanamu zilizopamba mji huu.

Hiyo picha nimeipiga jana usiku.

8 comments:

Anonymous said...

Sema Edo...

Hiyo imekaa njema..taratibu maana kama umeanza tako naogopa siku nyingine nitakutana na mengine...lol..

pamoja mkuu.

Issack

Anonymous said...

nimecheka sana,yaani Edo bado ujakuwa tu..aaa aaaaa

hiyo nayo kali.

kweli kaka hizi lugha utata.

Jane

Anonymous said...

mwanzo nilifikiri ni mambo ya photoshop..ila baada ya kuikuza picha ndio nikaone kitu ni chenyewe.


Tatizo lako sijui maboksi yamekuzidi maana baada ya hii picha kukuona tena nafikiri mpaka pasaka ipite.

Ufini ni lugha ya kwako au ni kiswahili?

EDWIN NDAKI (EDO) said...

March 13, 2008 1:30 PM

Mkuu neno "UFINI" ni lugha malidhawa kabisa ya kiswahili.

karibu tena ...nitajitahidi sasa hivi kuboresha wakati mwingine majukumu yakuwa shingoni m2 wangu.

Tutafika tu

Simon Kitururu said...

:-)

Egidio Ndabagoye said...

Duh! kuna mitaa kwa Kabila nayo ina majina utata sana.

Kibunango said...

Haya, ikifika summer nitafutie maana ya joto kwa kifini

Anonymous said...

Hizo sanamu nimeziona sana Scandinavia kote Denmark na Sweden. UK huwezi kuta sanamu za uchi uchi nyingi mitaani na hata ukiona ni nadra sana.

Hilo jina kweli utata.

Mama Malaika