Wednesday, February 13, 2008

FEST AFRICA

Ni wakati wa kupunguza ka ubaridi kwa kujumuika kwa pamoja Klub kwenye moto wa "Fest Africa"

Tukio litafanyika Klubi-Tampere mkabala na Passion bar.Tujumuike kwa pamoja.Burudani kwa Amani.

8 comments:

Anonymous said...

Edo sikuwezi.

Maana baada ya hii post najua utarejea tena mwezi wa sita.

Ahaa..aaa..wasalimia huko ufini.

Terry

Anonymous said...

Edo inabidi nikusaidie japo ka simu kangu ka camera ili japo uwe unateletea picha za huko...lol

Napenda sana maoni yako uwa nayasoma sana kule Bc.

Keep it up

Anonymous said...

Edo samahani naenda nje ya mtundiko.

Hivi ulishawahi kusoma St Augustine mwanza?Maana sura yako sio ngeni.Nakumbuka kuna mtu tulikuwa tunamuita kwa jina la Ishi sijui kama ni wewe au mnafanana.

Tuletee habari zaidi.

EDWIN NDAKI (EDO) said...

Salome nashukuru kwa kutembelea kijiwe chetu hiki.

Ni kweli nilikuwa napiga shule pale sauti na nilihitimisha masomo yangu 2004.

aaa.aa umenikumbusha mbali.Maana Ishi lilikuwa jina la kutungiwa na watu kutoka na kipindi hicho nilikuwa nafanya kazi na kampeni ya kuhamasisha jamii kupambana VVU/UKIMWI..iliyokuwa inajulika kama ISHI.

Karibu tena.
edwin

Anonymous said...

Mweeeejamani iwas out of the moon nilikuwa sijui kama na wewe ni mwanabloglist...hongera kaka maana huwa nasoma comment zako zimetulia, endelea kutupa newzzzzz!Matty.

Majita said...

Mzee wa mjengo,kumbe wewe ni aka Ishi!!sawa kaka

EDWIN NDAKI (EDO) said...

Kamanda MAJITA,
nashukuru sana kwa kuja kunijulia hali.

aaa.aaa kaka ilibidi ni we Ishi ..life lenyewe la kibongo linatisha... umeme nje nje.. aaaa

Simon Kitururu said...

DUH!Nili misi hii kitu:-(