Friday, July 20, 2012

EXTRA BONGO BAND(TZ), AWILO LONGOMBA(DRC) NDANI YA FEST AFRIKA JIJINI TAMPERE, FINLAND.


 
Mkurugenzi wa Etra Bongo Band,Ally Choki (kati mwenye fulana ya bluu) akiwa na msafara wa wasanii  wa bendi yake pamoja na Mkurugenzi wa tamasha (FEST AFRIKA)Menard Mponda(mwenye fulana nyekundu), muda mfupi baada ya kuwasili Finland tayari kwa ziara ya muziki  barani ulaya.


Msanii  Super Nyamwela(kulia) wa Extra Bongo Band akifanya makamuzi jijini Tampere muda mfupi baada ya kuwasili akiwa na wenzake.

LEO IJUMAA JULY 20 ALLY CHOKI PAMOJA NA BAND YAKE YA EXTRA BONGO WATAPANDA JUKWAANI JIJI TAMPERE FINLAND KWENYE TAMASHA KUBWA LA KIMATAIFA LA "FEST AFRIKA"

WASANII WENGINE WATAOTUMBUIZA NI PAMOJA MSHINDI WA TUZO YA KORA AWILO LONGOMBA ,MOKOOMBA BAND KUTOKA ZIMBABWE ,CHEZA NGOMA(TANZANI/FINLAND)NA MAKUNDI MBALI MBALI KUTOKA AFRIKA YA MAGHARIBI.

RATIBA :
FRI 20.7.
18-02 OPEN DOOR - PAKKAHUONE
FAMILY DAY
African Market with clothes, crafts etc.
19:00 CHEZA NGOMA
20:00 THE MPONDAS
21:00 HILTON MAROWA
22:00 MOKOOMBA BAND-ZIMBAMBWE
23:00 EXTRA BONGO - TANZANIA
Entry: 20 € (+ Ticket fees) / children 7 € (under 7 years free)

SAT 21.7.
20-04 DOOR OPEN - KLUBI
21.00 TRANSIT CAFET
22.00 ZAMBIAIN VOCAL COLLECTION
23:00 DANCE SHOW
24:00 AWILO LONGOMBA - CONGO - ZAIRE
Entry: 25 € (+ Ticket fees)

SUN 22.7.
18-02 TELAKKA
18:00 EXTRA BONGO - TANZANIA (out door)
22:00 EXTRA BONGO - TANZANIA (indoor)
Entry: 10 €

Ticket in advance WWW.TICKKET.FI

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

nawatakieni wote mtakaokuwa hapo wakati mzuri sana..