Thursday, July 19, 2012

ALLY CHOKI NA MSAFARA WA EXTRA BONGO WAWASILIA FINLAND!!

 Hatimaye kiongozi wa Bendi ya Xtra bongo Ally Choki aliyeambatana msafara mzima wa EXTRA BONGO BAND wakipokelewa uwanja wa kimataifa wa ndege Vanta,Finland dakika kadhaa baada ya kutua tayari kushiriki maonyesho mbalimbali katika kusherekea miaka 11 ya tamasha la FEST AFRIKA  jiji Tampere Finland.
Ally Choki (katikati) Menard Mponda (Fulana nyekundu) kiongozi wa Tamasha la FEST AFRIKA ambalo mwaka huu linatimiza miaka 11.

Msanii wa Xtra Bongo Band Super Nywamwela akisalimia mashabiki walifika uwanjani kuwapokea jioni ya leo Vantaa Airport, Finland..




FRI 20.7.
18-02 OPEN DOOR - PAKKAHUONE
FAMILY DAY
African Market with clothes, crafts etc.
19:00 CHEZA NGOMA
20:00 THE MPONDAS
21:00 HILTON MAROWA
22:00 MOKOOMBA BAND-ZIMBAMBWE
23:00 EXTRA BONGO - TANZANIA
Entry: 20 € (+ Tiketti fees) / children 7 € (under 7 years free)

SAT 21.7.
20-04 DOOR OPEN - KLUBI
21.00 TRANSIT CAFET
22.00 ZAMBIAIN VOCAL COLLECTION
23:00 DANCE SHOW
24:00 AWILO LONGOMBA - CONGO - ZAIRE
Entry: 25 € (+ Tiketti fees)

SUN 22.7.
18-02 TELAKKA
18:00 EXTRA BONGO - TANZANIA (out door)
22:00 EXTRA BONGO - TANZANIA (indoor)
Entry: 10 €

No comments: