Saturday, May 5, 2012

BREAKING NEWS!! RASHID YEKINI DIED

 Picha:Marehemu Rashidi Yekini juu na chini enzi za uhai wake akishangilia goli kwa stahili ya kipekee mbayo ilivuma sana miaka ya tisini.

Taarifa kutoka mji wa Kwara,Nigeria inaeleza mkongwe na nguli wa soka Rashidi Yekini(49) ameaga dunia.

Chanzo cha mauti ni kutokana na ugongwa  kitaalumu unaitwa "neurological ".

Rashidi Yekini mbali  alifungia "Nigeria's Ever FIFA World Cup goal", huku yeye akicheza na nyavu mfano anataka kuzikata au kuzitanua.

Ameliifungia timu yake ya taifa ya Nigeria "SUPER EAGLE"  magoli 34 katika mechi michezo 58 aliyocheza.

Rest in peace Nigeria and African football legendary Rashidi Yekeni.
Amen

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

pumzika kwa amani kaka Rashid!!+