Friday, April 27, 2012

"GOODBYE BARCELONA" -PEP GUARDIOLA

                                            "The reason is simple: four years is enough," said Guardiola.

Pep Guardiola (41) anaotanga kutosaini mkataba mwingi baada kumaliza mkata wake utakaofikia mwisho june 30 baada ya kuwa kocha kwa kipindi cha miaka minne ktk klabu ya FC Barcelona.

Guardiola anaondoka huku akicha rekodi ya kuwa kocha mwenye mafanikio makubwa kuliko kocha yeye alipata kuifundisha klabu hiyo akiwa ameiwezeka kushinda makombe 13 mpaka leo.Pia aliwahi kuichezea klabu ya Barce 1991 -2001.

Pep amewashukuru wachezaji kwa mchango wao mkubwa.

Kwa habari zaidi unaweza kusoma kwa kubofya bbc sport

No comments: