Friday, July 25, 2008

MKAPA ASIYEONGEA AKIWA NA RAIS WA FINLAND


(picha rais wa Ufini alipotembelea Bongo feb,2003)
Rais mstaafu ambaye kitaaluma ni mwandishi wa habari,leo hii kapata na 'tatizo' la kushindwa kujibu hoja mbalimbali za wadau.

Ben aliyejinadi kwa sera za "Uwazi na ukweli" haongei kabisa.

Naomba atakaye pata nafasi ya kuongea na braza Ben amulize vipi inakuwaje kuhusu issue ya kiwira au ndio imetoka?vipi kuhusu Bank M eti kuna mkono wake pia?

poa *mr clean' ipo siku utasema tu hata ka sio duniani hukoo tuendako.

tutafika tu

3 comments:

Anonymous said...

yaani huyu jamaa sijui vipi?

akiwa nje ya bongo anapenda sana kuongea na vyombo vya habari vya nje.

sasa akiwa bongo yaani alikuwa mbabe kweli.

Edo unakumbuka enzi zake jinsi alivyokuwa anaponda fani yenu?

Jerry-arusha

EDWIN NDAKI said...

Mtu wangu unaongea ukweli.

Mkapa alikuwa na tabia ya kubeza sana waandishi wa ndani.

kasahau enzi za mwalimu yeye naye alikuwa mwandishi.

ila kubwa ya yote kwanini hataki kuongelea kashfa zake kama ni mtu safi?

Jerry arusha vipi mwana..

haki said...

Mkuu za leo.?
leo nimepita hapa kumwaga salaam zangu na kubeba ujuzi kidogo...
nakutakia kila la kheri..
tupo pamoja sana..
Haki