
picha zote kwa hisani ya maktaba ya rais ufini)
Mara nyingi nasikia mke wa rais anaitwa "festi ledi" .Hivyo binafsi baada ya kupata utambulisha wa huyu paka kwamba naye nisehemu ya familia kwa kasri la rais wa hapa ufini.
Na kana kwamba haitoshi katika moja ya picha aliyopiga mkuu akiwa mapumzikoni anaonekana akiwa sambamba na huyu rafiki.
Ndio maana nashawishika kuamini huyu paka atakuwa "fisti paka"..hii imekaaje watu wangu.
Kweli ukistaajabu ya musa utayaona ya Firauni.
Kwa maelezo zaidi kuhusu wasifu wa rais wa ufini bofya http://www.tpk.fi/netcomm/news/ShowArticle.asp?intNWSAID=34008&LAN=EN
3 comments:
kweli duniani kuna mambo..sipati picha makamuzi anayokula huyo paka.
ndio maana wakati mwingine natamani ningekuwa paka mamomtoni kuliko rhumba la hapa bongo
yaani huyo rais kweli mtu wa watu.kwanza nikiwa mwanamke nafurahi sana kuhusu maisha yake yaani yanaonekana simple tu
prezidaa ..kweli mtoni mtoni..sasa
jk hobby yake tatizo akiionyesha hadarani itakuwa soo labda usiku..maaana ni mtu waaa..malizia
Post a Comment