Friday, July 25, 2008

HUYU NDIYE 'PAKA WA KWANZA' UFINI



(Picha juu,mh rais wa ufini akiwa kajipumzisha anachora pembeni akiwa na "paka wa kwanza")
(' paka wa kwanza' pichani kwa jina anaitwa Miksa..

picha zote kwa hisani ya maktaba ya rais ufini)

Mara nyingi nasikia mke wa rais anaitwa "festi ledi" .Hivyo binafsi baada ya kupata utambulisha wa huyu paka kwamba naye nisehemu ya familia kwa kasri la rais wa hapa ufini.
Na kana kwamba haitoshi katika moja ya picha aliyopiga mkuu akiwa mapumzikoni anaonekana akiwa sambamba na huyu rafiki.

Ndio maana nashawishika kuamini huyu paka atakuwa "fisti paka"..hii imekaaje watu wangu.

Kweli ukistaajabu ya musa utayaona ya Firauni.

Kwa maelezo zaidi kuhusu wasifu wa rais wa ufini bofya http://www.tpk.fi/netcomm/news/ShowArticle.asp?intNWSAID=34008&LAN=EN

3 comments:

Anonymous said...

kweli duniani kuna mambo..sipati picha makamuzi anayokula huyo paka.

ndio maana wakati mwingine natamani ningekuwa paka mamomtoni kuliko rhumba la hapa bongo

Anonymous said...

yaani huyo rais kweli mtu wa watu.kwanza nikiwa mwanamke nafurahi sana kuhusu maisha yake yaani yanaonekana simple tu

Anonymous said...

prezidaa ..kweli mtoni mtoni..sasa

jk hobby yake tatizo akiionyesha hadarani itakuwa soo labda usiku..maaana ni mtu waaa..malizia