Saturday, July 26, 2008

KUMBE HATA UFINI VIBABA RUKSA?

Jana nimenasa "mdhungu" akiongeze kiwese baada ya mafuta ya mwanzo kutotoa ushirikiano(kuisha).

Gari lilianza kustua stua kabla kuzima mitaa ya posta mpya(namaana kati kati ya jiji -keskustori).Baadaye suka alishuka na kufungua duka"boneti" alipoona hakuna wateja"tatizo" akaamua kutoa kidumu na kujaza wese!

Kwa hakika binafsi katukio kalinistua ..kwani sikutegemea kukutana na tukio kama hilo.
Habari ndiyo hiyo....

tutafika tu

1 comment:

Anonymous said...

aaaa aaaaa nimecheka sana..ina maana huko Edo siku nyingine dala dala zenu nawenyewe wanaenda kuweka mafuta mkiwemo?aaaa aaa

edo kama ndio hivyo rudi bongo