
Gari lilianza kustua stua kabla kuzima mitaa ya posta mpya(namaana kati kati ya jiji -keskustori).Baadaye suka alishuka na kufungua duka"boneti" alipoona hakuna wateja"tatizo" akaamua kutoa kidumu na kujaza wese!
Kwa hakika binafsi katukio kalinistua ..kwani sikutegemea kukutana na tukio kama hilo.
Habari ndiyo hiyo....
tutafika tu
1 comment:
aaaa aaaaa nimecheka sana..ina maana huko Edo siku nyingine dala dala zenu nawenyewe wanaenda kuweka mafuta mkiwemo?aaaa aaa
edo kama ndio hivyo rudi bongo
Post a Comment