Sunday, August 17, 2008

MISRI:MAMA AJIFUNGUA WATOTO SITA.

(Picha kwa msaada wa AP)
Ghazala Khamis mwanamke anayeishi katika jiji la Cairo,amejifungua watoto saba kwa wakati mmoja.
Mama huyo alijifungua watoto wa kiume wanne na wa kike wawili.Watoto wapo kwenye hali nzuri.
Kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni.
Hongera mama kwa kujifungua salama.
Habari zaidi unaweza kubofya

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Hapo iko kazi watoto saba kwa wakati mmoja mmhhh mmoja tu jasho kwelikweli je saba.Ila nawapa hongera sana. Asante kaka edwin kwa kutembelea blog yangu yako pia nzuri. jion njema.

EDWIN NDAKI (EDO) said...

Yaani Yasinta hapo kweli kazi ipo.

Maana 'pressure' ya kwanza jinsi ya kuwalea..

Lakini poa bwana si unakumbuka misemo ya kibongo..kila mja na riziki yake.