Monday, August 18, 2008

RAIS MUSHARAF WA PAKISTAN -AJIUZURU

Mh.Perves Musharraf

Aliyekuwa rais wa Pakistan,mh Perves Musharraf amejiuzuru nafasi ya urais. Na kutamka kuwa nchi sasa iko chini wa spika wa bunge wakati ikisubiri mchakato mwingine.

Musharraf kafikia maamuzi hayo baada ya shinikizo kutoka bunge la nchi hiyo.

Aliingia madarakani mwaka june20,2001.Na kwa njia ya jeshi na baadaye kujivua wadhifa wa kijeshi na kubakia raia mpaka anajiuzuru.



Habari zaidi bofya..
http://news.bbc.co.uk/2/hi/south_asia/7567451.stm

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

ni kweli kabisa kwani hawa ndio taifa la kesho labda tupeleke swaala hili bungeni