Rais wa zambia mh Levy Mwanawasa hatunaye tena.Amekutwa na mauti alipokuwa ufaransa akipata matibabu yake.
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi.Amina
Maelezo zaidi bofya...http://www.bbc.co.uk/swahili/news/story/2004/06/000000_dirayadunia.shtml
1 comment:
Marehemu asterehe kwa aman, amina
Post a Comment