Wednesday, August 27, 2008

MCHINA ATOA KIPIGO KWA MFANYAKAZI WAKE BONGO

(Bruce Lee -Picha kutoka kwenye mtandao.Haihusiani na tukio)


RAIA wa China ambaye ni makandarasi katika barabara ya Sam Nujomba jijini Dar es Salaam, Du Yu (23), amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Kinondoni, akikabiliwa na shtaka la kumjeruhi kwa kipigo mfanyakazi wake.

Habari zaidi bofya
http://http://mwananchi.co.tz/newsrids.asp?id=6610

No comments: