 Rais wa zambia mh Levy Mwanawasa hatunaye tena.
 Rais wa zambia mh Levy Mwanawasa hatunaye tena.Amekutwa na mauti alipokuwa ufaransa akipata matibabu yake.
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi.Amina
Maelezo zaidi bofya...http://www.bbc.co.uk/swahili/news/story/2004/06/000000_dirayadunia.shtml
 
 
1 comment:
Marehemu asterehe kwa aman, amina
Post a Comment